Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha  viongozi mbalimbali wa Afrika kwa Rais Barack Obama wa Marekani  wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mhe.Balozi, Dakitari, Raisi Jakaya Kikwete JEMBE LA CHUMA NA NYUNDO YA CHUMA!

    HANA MPINZANI!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nilijua kikwete yupo juu Jamani Fox news walikuwa wanamwonyesha na kumuongelea Nyerere kidogo hapo na Jinsi ALIVYO Rais Mzuri .every time image yake ilikuwa inaonyweshwa

      Delete
  2. Sina hakika kama ninakubaliana na wewe au laa unaemwita mheshiwa JK hivyo ila kila ninapokuta maoni yako ukimsifia huniacha na tabasamu la kunifanya nifikiri zaidi.

    sesophy

    ReplyDelete
  3. How very dignified our president and his wife look. I feel so proud to be represented by them. Pure class.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...