Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha viongozi mbalimbali wa Afrika kwa Rais Barack Obama wa Marekani wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013.
PICHA NA IKULU
Mhe.Balozi, Dakitari, Raisi Jakaya Kikwete JEMBE LA CHUMA NA NYUNDO YA CHUMA!
ReplyDeleteHANA MPINZANI!
Nilijua kikwete yupo juu Jamani Fox news walikuwa wanamwonyesha na kumuongelea Nyerere kidogo hapo na Jinsi ALIVYO Rais Mzuri .every time image yake ilikuwa inaonyweshwa
DeleteSina hakika kama ninakubaliana na wewe au laa unaemwita mheshiwa JK hivyo ila kila ninapokuta maoni yako ukimsifia huniacha na tabasamu la kunifanya nifikiri zaidi.
ReplyDeletesesophy
How very dignified our president and his wife look. I feel so proud to be represented by them. Pure class.
ReplyDelete