Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mh. Grace MUJUMA mwenye Nguo ya kitenge rangi ya bluu na pink akiwa na viongozi wa dini ya kiislam na kikristo wakati ya maombi ya kuiombea Amani nchi yetu ya Tanzania wakati wa maadhimisho ya uhuru wa TANZANIA kwenye Viwanja vya Ubalozi wa TANZANIA nchini Zambia
Home
Unlabelled
Sherehe Za uhuru wa Tanzania nchini Zambia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Mnaposema uhuru wa Tanzania mnamaanisha nini? Mbona tunakuwa watumwa namna hii? Ni uhuru wa TANGANYIKA
ReplyDelete