Balozi wa Tanzania nchini Zambia,Mh. Grace MUJUMA mwenye Nguo ya kitenge rangi ya bluu na pink akiwa na viongozi wa dini ya kiislam na kikristo wakati ya maombi ya kuiombea Amani nchi yetu ya Tanzania wakati wa maadhimisho ya uhuru wa TANZANIA kwenye Viwanja vya Ubalozi wa TANZANIA nchini Zambia
Jumuiya ya watanzania waishio nchini Zambia walipojumuika kwenye kusherekea uhuru wa Tanzania kwenye Viwanja vya Ubalozi wa TANZANIA nchini Zambia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mnaposema uhuru wa Tanzania mnamaanisha nini? Mbona tunakuwa watumwa namna hii? Ni uhuru wa TANGANYIKA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...