Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuzindua matumizi ya magari mawili ya kubebea wagonjwa yaliyonunulia na Ofisi ya Bunge. Pembeni ni Mjumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. William Lukuvi.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa tume ya Bunge na katibu wa Bunge mbele ya mojawapo ya magari hayo ya kubebea wagonjwa yaliyonunuliwa na Ofisi ya Bunge.
Katibu wa Bunge na Mhe. Spika wakikagua magari hayao. katikati ni muuguzi mwandamizi kutoka Hospitali ya mkoa wa Dodoma bi, Cecilia Sanya. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mbona hatuambiwi yamenunuliwa kwa bei gani?

    ReplyDelete
  2. Naomba kufahamishwa,
    Ofisi ya Bunge imenunua hayo magari mawili ya kubebea wagonjwa kwa ajili ya matumizi ya akina nani?
    Je, Ofisi ya Bunge itaya-donate hayo magari kwenye hospitali au vituo vya zimamoto?

    ReplyDelete
  3. Comrades,
    Give us some statistics: For the past 5 years how many MP and Bunge staff have required ambulance services?
    Are the 2 new ambulances going to be stationed at Bunge all the time? Will they be available to other Watanganyika?
    UPM-Edmonton

    ReplyDelete
  4. They need trucks, these are huge people with nothing to do

    ReplyDelete
  5. Tractors needed

    ReplyDelete
  6. Mamaaaaa, kweli kwa hali hii. Watanganyika tutabaki hatuna thamani mbele ya viongozi wetu ni bora mkoloni anakubagua waziwazi. kila wilaya tunahitaji Gari kama hizo na siyo bodaboda.

    ReplyDelete
  7. wangepewa mkokoteni unaovutwa na punda, let us be serious guys, what do they actually do. So we expect every workplace to have an ambulance?

    Come 2015, let us throw them out of Bunge - 90% do not no know why they are there.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...