![]() |
| Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa tume ya Bunge na katibu wa Bunge mbele ya mojawapo ya magari hayo ya kubebea wagonjwa yaliyonunuliwa na Ofisi ya Bunge. |
Katibu wa Bunge na Mhe. Spika wakikagua magari hayao. katikati ni muuguzi mwandamizi kutoka Hospitali ya mkoa wa Dodoma bi, Cecilia Sanya. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge





Mbona hatuambiwi yamenunuliwa kwa bei gani?
ReplyDeleteNaomba kufahamishwa,
ReplyDeleteOfisi ya Bunge imenunua hayo magari mawili ya kubebea wagonjwa kwa ajili ya matumizi ya akina nani?
Je, Ofisi ya Bunge itaya-donate hayo magari kwenye hospitali au vituo vya zimamoto?
Comrades,
ReplyDeleteGive us some statistics: For the past 5 years how many MP and Bunge staff have required ambulance services?
Are the 2 new ambulances going to be stationed at Bunge all the time? Will they be available to other Watanganyika?
UPM-Edmonton
They need trucks, these are huge people with nothing to do
ReplyDeleteTractors needed
ReplyDeleteShip?
ReplyDeleteMamaaaaa, kweli kwa hali hii. Watanganyika tutabaki hatuna thamani mbele ya viongozi wetu ni bora mkoloni anakubagua waziwazi. kila wilaya tunahitaji Gari kama hizo na siyo bodaboda.
ReplyDeletewangepewa mkokoteni unaovutwa na punda, let us be serious guys, what do they actually do. So we expect every workplace to have an ambulance?
ReplyDeleteCome 2015, let us throw them out of Bunge - 90% do not no know why they are there.