Home
Unlabelled
TAHADHARI YA MVUA: Vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa katika maeneo ya nyanda za juu kaskazini-mashariki, ukanda wa Ziwa Victoria pamoja na magharibi mwa nchi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
? TahadhaLI
ReplyDeleteL na R ni tatizo kubwa sana hasa kwa vijana wengi chini ya miaka 30 na inatuondolea ladha sisi wapenzi wa kiswahili. Kwa hakika kuchanganya tu huko kwa R na L hutosheleza mimi kubadili idhaa ya radio au tv inayofanya uharibiu.
ReplyDeletesesophy
Muheshimiwa hapo juu nadhani hii itakuwa ni makosa ya kiuandishi yaani "typographical error" na siyo makusudi ya mwandishi (why?) kwavile japo kichwa cha habari kimekosewa kwa kuandika "tahadhali" lakini neno hilohilo katika "content" limeandikwa kwa usahihi kabisa "tahadhari"
ReplyDeleteLakini ukitaka twende mbali zaidi, utagundua hata wewe mwenyewe muheshimiwa huko vizuri kwenye kiswahili maana umeandika, na hapa nakunukuu: "....radio au tv inayofanya uharibiu"
mwisho wa kuku-nukuu!.....sasa neno "uharibiu" kama ulivyoandika hapo nasikitika kusema kuwa halipo kabisa kwenye kiswahili ninachikijua mimi (vinginevyo labda iwe ni msamiati mpya)....au tuseme pia kwako hii ni "typographical error" huenda (japo hatuna uhakika) au labda ulitaka kuandika neno "uharibifu"
Ila hii inatosha wakati fulani kukubali kuwa kitu inaitwa "human error" ipo - yaani ukiwa unaongea inaweza kuitwa "tongue slip" sasa ukiwa unaandika siku za leo (uki-assume wengi tuna-type kwa kutumia keyboard au tekinolojia inayofanana na hiyo) basi wanaita "mouse slip" - japokuwa siyo kila kinachoitwa "ku-type" kinahusisha moja kwa moja "mouse" _ ni mtazamo tu!
Haya tusubiri busara za aliye elimishwa......atajibu?atakubali kwamba si kutofahamu kiswahili kwa mwandishi????
ReplyDeletewaandidshi wa habari wengi hasa katika gazeti la mwananchi hata mabosi wao hawawasahihishi. Hawa ndio wanaongoza. Kuna mwanahabari mmoja wa ITV anaitwa Chacha yaani anakirihisha ukimsikiliza. Ladha ya habari inaondoka kabisa. Hebu jamani kabla hawajasoma habari hawa wapewe majaribio Mtu badala ya Lorry yeye anageuza Rolly, ajari, leri, luhusa, barozi, ledio, laisi. Mtu akichukua uandishi wa habri si lazima awe amefaulu lugha za Kiingereza na Kiswahili.
ReplyDeleteKumbe sote hatujui kiswahili. Hata muelimishaji kakosea pia badala ya kuandika' kiswahili ninachokijue mimi' ameandika kiswahili ninachikijua mimi'
ReplyDeleteWooote hawa ni ktk kukosea tu ila kiswahili wote wanakijua