Mkuu wa wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu, akimtunza Mmoja wa
wasanii wa Jeshi la JKT Mgambo, waliokuwa wakitoa burudani katika la
Utamaduni Handeni.
Wasanii wa ngoma za asili kutoka JKT Mgambo, wakitumbuiza Mamia ya
Wananchi waliofika katika Tamasha la Utamaduni Handeni, sherehe hizo
zilifanyika Juzi katika Uwaja wa Azimio, wilayani Handeni, Mkoani
Tanga.
Kikundi cha Sarakasi kutoka JKT Mgambo wakionesha uwezo wao katika
Tamasha la Utamaduni Handeni, Tamasha hilo lilifanyika juzi, katika
uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, Mkoani Tanga.


.jpg)
.jpg)
.jpg)
Kumbe watu kutoka Pemba na Handeni wanapiga Zumari aina moja. Inaonyesha kuwa ni watu wa kabila moja. Sio kama wanavyotwambia huko Visiwani kuwa wao wanatokea Uarabuni na kabila lao ni Al-Mauli.
ReplyDelete