Mkuu wa wilaya ya Handeni, Muhingo Rweyemamu, akimtunza Mmoja wa wasanii wa Jeshi la JKT Mgambo, waliokuwa wakitoa burudani katika la Utamaduni Handeni.
Wasanii wa ngoma za asili kutoka JKT Mgambo, wakitumbuiza Mamia ya Wananchi waliofika katika Tamasha la Utamaduni Handeni, sherehe hizo zilifanyika Juzi katika Uwaja wa Azimio, wilayani Handeni, Mkoani Tanga.
Kikundi cha Sarakasi kutoka JKT Mgambo wakionesha uwezo wao katika Tamasha la Utamaduni Handeni, Tamasha hilo lilifanyika juzi, katika uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, Mkoani Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kumbe watu kutoka Pemba na Handeni wanapiga Zumari aina moja. Inaonyesha kuwa ni watu wa kabila moja. Sio kama wanavyotwambia huko Visiwani kuwa wao wanatokea Uarabuni na kabila lao ni Al-Mauli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...