Ankal salaam.
Kama ujuavyo, msimu huu ni msimu wa sikukuu ambapo wenzetu Wachagga hupendelea sana kwenda kwao kusheherekea sikukuu
hiyo pamoja na ndugu na jamaa waliopo huko vijijini.
Nimetumiwa baadhi ya picha na rafiki yangu mmoja ambaye hivi sasa yuko kwao huko Rombo Kilimanjaro kwa ajili ya sikukuu. Hakika ni taswira za kupendeza sana.
Nimetumiwa baadhi ya picha na rafiki yangu mmoja ambaye hivi sasa yuko kwao huko Rombo Kilimanjaro kwa ajili ya sikukuu. Hakika ni taswira za kupendeza sana.
Tafadhali ukipata nafasi ziweke kwenye blog yetu ya jamii ili Watanzania
wengine waweze kuona sababu mojawapo ya hawa jamaa zetu
kupenda sana kwenda kwao mwisho wa mwaka....... Ni pamoja
na kufaidi mazingira yenye taswira mwanana kama hivyo.
Mdau Rombo
Mdau Rombo



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...