Balozi Phikllip Marmo (kulia) akiwa amepokelewa katika ukumbi wa Watu mashuhuri(VIP) katika Uwanja wa ndege wa Tigel jijini Berlin.alippowasili kutoka Dar es salam kufuatia uteuzi wake kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani. Kushoto ni Balozi Osinde wa Kenya, katikati ni Balozi Gertze wa Namibia. Alipokelewa pia na Maafisa kutoka Ubalozi wa Tanzania, Berlin ambao hawapo katika picha.
Home
Unlabelled
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo atua Berlin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...