Afisa Muuguzi msaidizi wa taasisi ya tiba ya mifupa,mishipa ya fahamu na upasuaji wa Ubongo(MOI)katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,akitoa ushauri kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha huduma kwa wateja kuhusina na kula vyakula vyenye fuliki acid ya kutosha kama vile mboga za majani,Matunda,Maharage na Viazi,wakati wafanyakazi hao walipofika kutoa msaada wa vyakula na vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Tsh Milioni nane(8,000,000)kwa ajili ya watoto wenye ugonjwa wa kichwa vikubwa na mgongo wazi.
Katibu wa chama cha wazazi wa watoto wenye matatizo ya mgongo wazi na kichwa kikubwa (ASBAHT)Bi.Hidaya Juma (kulia)akielezea jinsi mirija inavyoingizwa kichwani wakati wa matibabu ya watoto wenye matatizo hayo kwa baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha huduma kwa wateja wakati wafanyakazi hao walipofika kutoa msaada wa vyakula na vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Tsh Milioni nane(8,000,000)kwa ajili ya watoto wenye matatizo ya kichwa vikubwa na mgongo wazi.


Fulik acid ndio nini?Wacheni ubabaishaji bwana wewe kama muandishi wa habar unashindwa kufanya uchuguzi mdogo tu wakujua usahihi wa hilo neno Folic acid?
ReplyDeleteAnkal hawa waandishi wako maboya sana wanatia kinyaa.
All women who are trying to conceive should take 400 mcg of FOLIC ACID continuously until the 12th week of pregnancy, if they have diabetes, epilepsy, had previous child with neural tube defect, BMI >30 and women with sickle cell disease should take 5 mg of folic acid until the 12th week of pregnancy, simple information, tell all the women and their Drs.
ReplyDeleteDr Gangwe Bitozi.