Mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima,Sitta Tumma akionja bia kwenye shindano la kuonja bia lililoandaliwa katika Kiwanda cha Bia cha TBL Mwanza juzi.
Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akizungumza na
waandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuendesha zoezi la kuonja bia
katika Kiwanda cha Bia cha TBL Mwanza juzi.


Kila la heri ila naamini mngeweza kupata mtaalamu mzuri wa VAT hapo inaonekana kama umewazidishia ndugu wa TRA TZS 5,421,440.32 kwasababu ongezeko hilo la millioni 422 limekuja kwa gharama ya TZS 35,540,553.22 ambayo ni jumla ya (7,488,000 na 28,052,533.22) kwahiyo watafuteni wahasibu waliokomaa sio wanakubali tu kuchukua total kama walivyofanaya hapo TZS 422,611,000 /1.18*0.18 wakapata TZ 64,466,084.75 ukalipa kodi na mapato yakawa TZS 358,144,915.25 baada ya VAT
ReplyDelete