Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akisisitiza jambo kwa Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Ubou Sabaa (aliyeketi upande wa kulia).
Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) Ubou Sabaa akizungumza katika kikao hicho. Makamu huyo aliambatana na ujumbe wake ambapo alifurahishwa na kasi ya ukuaji wa sekta ya nishati na kuahidi kutoa ushirikiano wa kutosha pale itakapohitajika.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akitoa maelezo juu ya
maendeleo ya sekta ya nishati kwa Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika (AfDB) Ubou Sabaa (aliyeketi upande wa kulia). Lengo la kikao hicho lilikuwa
ni kuwasilisha taarifa ya maendeleo ya sekta ya nishati katika maeneo ya ulipaji kodi,
mapato, ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na uboreshaji wa shirika la Tanesco
Ankal, Kama vile naona taswira ya mguu kwenye hizi picha !?
ReplyDelete