Muuguzi Mshauri wa kupima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi,Bi. Aulelia Kunambi, akimpima Meneja Raslimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. David Mafuru (kulia), wakati wa zoezi maalumu la kupima Ukimwi kwa hiari kwa wafanyakazi wa Kampuni hiyo,Dar es Salaam.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Tereza Mbando
(katikati), akiwasha mshumaa kuzindua zoezi la kupima virusivya ukimwi kwa hiari kwa wafanyakazi wa Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam kuadhimisha siku ya Ukimwiduniani. Kulia ni Meneja Raslimali watu wa kampuni hiyo,Bw. David Mafuru.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
wakiwasha mishumaa baada ya kushiriki katika zoezi la kupima ukimwi kwa hiari, wakati wakiadhimisha siku ya Ukimwi Duniani.
Wasanii wa kundi la THT wakitoa burudani kwa wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL, wakati wa zoezi la kupima virusi vyaukimwi kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo, Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...