Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge Novemba 3, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nyie huko Bongo bado mpo Novemba??!
    Wenzenu huku ughaibuni tulishavuka na sasa tupo Desemba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...