Naibu Afisa Mtendaji Mkuu President Delivery Bureau (PDB),Bw.Peniel Lyimo kushoto akibadilisha mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania (ACT),Bi.Janet Bitegeko (kulia) , katikati ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA),Profesa AndrewTemu wakati wa warsha ya wadau wa sekta ya Kilimo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana ambapo maswala mbalimbali ya kuendeleza sekta hiyo yalijadiliwa.
Naibu Afisa Mtendaji Mkuu President Delivery Bureau (PDB),Bw.Peniel Lyimo kushoto akitoa mada juu ya mikakati ya Serikali katika kuendeleza sekta ya Kilimo katika warsha ya wadau wa sekta ya Kilimo iliyofanyika jijini Dar es Salaam ambapo maswala mbalimbali ya kuendeleza sekta hiyo yalijadiliwa.
Naibu Afisa Mtendaji Mkuu President Delivery Bureau (PDB),Bw.Peniel Lyimo (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Kilimo Tanzania,Bw. Salum Shamte wakipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Wahitimu wa Chuo cha Kilimo (SUA) yaani Sokoine University Graduate Entrepreneur (SUGECO),Dkt. Anna Temu kushoto ambapo wahitimu hao baada ya kuhitimu waliamua kuanzisha taasisi ya ujasirimali katika sekta ya Kilimo na, wahitimu hao walihudhuria warsha ya wadau wa sekta ya Kilimo iliyofanyika jijini Dar es Salaam ambapo maswala mbalimbali ya kuendeleza sekta hiyo yalijadiliwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...