Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA na afisa wake bi Justa Nyange (kusho) walipokutana na waigizaji wa filamu Hemed kutoka Tanzania (kulia) na Bi. Cassie Kabwita wa Zambia. Waigizaji hao wanategemea kutengeneza filamu mpya pamoja nchini Zambia
Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA akiwa na afisa wa Ubalozi Bw. Jeswald Majuva (kulia) wakati walipokutana na waigiza sinema Hemed kutoka Tanzania na Cassie Kabwita wa ZAMBIA
Muigiza sinema wa Tanzania Hemed akiwa na muigizaji sinema wa Zambia Cassie Kabwita wakati walipotembelea Ofisi Za Ubalozi w Tanzania Lusaka Zambia Jana tarehe 6 desemba 2013. Msanii Huyu wa Tanzania yuko nchini Zambia akishirikiana na Kabwita katika kutengeneza filamu mpya
Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace MUJUMA (katikati) akiwa na maafisa wake Bi. Justa Nyange (wa nne kushoto ju) na bw Jeswald Majuva mwenye tai kulia wakiwakaribisha wacheza mpira wa Miguu kutoka Mbalizi, Mbeya, katika ziara Yao ya michezo Kadhaa na wenzao nchini hapa.timu hiyo ya mbalizi imealikwa nchini Zambia na mtanzania aitwaye Greenwell Mwahalende anayeishi na kufanya Biashara Zake huko.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...