Shkamoo Ankal. 
Hongera sana kwa kutusuza nyoyo na blogu jamii. Ankal. Kuna mtu aliniagiza simu mbili za Blackberry toka Marekani, ambazo baada ya kununua akaniambia nimpe kwanza alafu atanilipa baadae. Nimekataa kumpa na sasa nauza hizi simu ambazo ni mpya na original toka Marekani. Naomba mwenye interest ani contact. Hizi simu ziko kwenye orginal box zake nilinunua toka Blackberry $699. Sitaki faida, nataka tu hela zangu. Mwenye kuzihitaji tuwasiliane kwa email hii  
mbezi1980@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mdau unaishi USA lakini unashindwa kumpa zawadi jamaa yako ya $700 tu!!

    ReplyDelete
  2. Hhahahahahahahaha anaishi marekani anakataa kumpa USD 700/=. Mdau kama ulipata kuwasikia jamaa wa kijiwe cha ughaibuni...kuna mtu alikua anazungumzia matumizi yake ya wiki dola sabini.....hahahahahaha, kwa mahesabu ya haraka haraka hiyo mia saba ni wiki kumi........

    ReplyDelete
  3. Nani bado anatumia BlackBerry?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...