Shkamoo Ankal.
Hongera sana kwa kutusuza nyoyo na blogu jamii. Ankal. Kuna mtu aliniagiza simu mbili za Blackberry toka Marekani, ambazo baada ya kununua akaniambia nimpe kwanza alafu atanilipa baadae. Nimekataa kumpa na sasa nauza hizi simu ambazo ni mpya na original toka Marekani. Naomba
mwenye interest ani contact. Hizi simu ziko kwenye orginal box zake nilinunua toka Blackberry $699. Sitaki faida, nataka tu hela zangu. Mwenye kuzihitaji tuwasiliane kwa email hii
mbezi1980@yahoo.com
Mdau unaishi USA lakini unashindwa kumpa zawadi jamaa yako ya $700 tu!!
ReplyDeleteHhahahahahahahaha anaishi marekani anakataa kumpa USD 700/=. Mdau kama ulipata kuwasikia jamaa wa kijiwe cha ughaibuni...kuna mtu alikua anazungumzia matumizi yake ya wiki dola sabini.....hahahahahaha, kwa mahesabu ya haraka haraka hiyo mia saba ni wiki kumi........
ReplyDeleteNani bado anatumia BlackBerry?
ReplyDelete