Mwenyekiti wa Mkoa wa magharibi kichama Yussuf Muhammad Yussuf akimnadi mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mahmoud Thabit Kombo katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki zilizofanyika Bustani ya Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi Unguja.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Mkoa wa magharibi kichama Yussuf Muh’d Yussuf (hayupo pichani) katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki katika kiwanja cha Bustani ya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja.
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mahmoud Thabit Kombo akimpa maiki mwanawe Sukainnah Mahmoud Thabit awasalimie wanachama wa (CCM) katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki zilizofanyika Bustani ya Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi Unguja.
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mahmoud Thabit Kombo akiwahutubia wananchi waliofika katika kampeni zake katika kiwanja cha Bustani ya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar
Kazi ipo Zanzibar!
ReplyDeleteKumekucha Zanziba!
Tuinadi na kuhubiri Siasa Kistaarabu.
Bora tusimwagiane Tindikali !!!