Sehemu ya mananasi mengi yanayouzwa njia panda ya Chalinze-Segera pembezoni mwa barabara ya Morogoro road Chalinze, mkoa wa Pwani. Mkoa huo ni maarufu kwa zao hili ambalo likifanyiwa kazi ya kutafutiwa soko kitaifa na hata kimataifa linaweza kuwakwamua wengi kiuchumi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hayo ya kuwatafutia soko wakulima yangeshafanywa siku nyingi lakini viongozi wetu wamekosa initiative huwa wanabuni mambo ambayo hayawasaidii wananchi kama kugawana nyumba za taifa,kuongeza mafao yao nk.

    ReplyDelete
  2. nakubaliana na mchangiaji hapo juu. Kwa kuongezea haya mananasi kwa kuyatazama tu unahisi ni ya kwaliti nzuri. Sio tatizo kama hawakuwatafutia soko nje, azam yupo na machine zake atatufanyia juisi ya maboksi au vikopo

    ReplyDelete
  3. UK kuna soko kubwa la mananasi lakini hawataki kununua kutoka nchi za Afrika isipokuwa South Africa tu. Kilichobaki tuuziane wenyewe kwenye soko la ndani.

    ReplyDelete
  4. tuwauzie hao S.Africa hayo mananasi na wao watayauza UK

    ReplyDelete
  5. Nanasi Europe nzima bei yake ipo juu, licha ya kuuzwa yakiwa bado mabichi kwakua huingizwa yakiwa mabichi toka huko yanapolimwa, Asia,Amerika ya kusini.Labda zitto akiwa rais atatunusuru.........hawa wengine ndio fungu la kukosa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...