Home
Unlabelled
chalinze mananasi bwelele...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hayo ya kuwatafutia soko wakulima yangeshafanywa siku nyingi lakini viongozi wetu wamekosa initiative huwa wanabuni mambo ambayo hayawasaidii wananchi kama kugawana nyumba za taifa,kuongeza mafao yao nk.
ReplyDeletenakubaliana na mchangiaji hapo juu. Kwa kuongezea haya mananasi kwa kuyatazama tu unahisi ni ya kwaliti nzuri. Sio tatizo kama hawakuwatafutia soko nje, azam yupo na machine zake atatufanyia juisi ya maboksi au vikopo
ReplyDeleteUK kuna soko kubwa la mananasi lakini hawataki kununua kutoka nchi za Afrika isipokuwa South Africa tu. Kilichobaki tuuziane wenyewe kwenye soko la ndani.
ReplyDeletetuwauzie hao S.Africa hayo mananasi na wao watayauza UK
ReplyDeleteNanasi Europe nzima bei yake ipo juu, licha ya kuuzwa yakiwa bado mabichi kwakua huingizwa yakiwa mabichi toka huko yanapolimwa, Asia,Amerika ya kusini.Labda zitto akiwa rais atatunusuru.........hawa wengine ndio fungu la kukosa.
ReplyDelete