DJ John Dillinga aongelea Disko la Old School na Isumba Lounge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Bab kubwa JD

    ReplyDelete
  2. sawa DJ JD, ila zamani sio 1988-89 hiyo ni juzi tu. Je sisi wa 1947 tusemeje?

    ReplyDelete
  3. kaka watokaji wa toka 80s tuliobaki tunatoka hakika 20 hatufiki! sasa angalizo husije laumu watu....na umri umekwenda

    ReplyDelete
  4. Totally agree 88/89, wengine tusha-acha kwenda disko, nawe si wa zamani, but good try. Will visit isumba once in Bongo, the place was formerly awash with makahaba,very good change indeed.

    ReplyDelete
  5. Mdau wa oldiesJanuary 30, 2014

    madj wa zamani saydou, jerry kotto, marehemu kalikali, john peter, paul, holela, joe na wengine ! jd tunavyokujua wewe ni dj wa tisini katikati bilicanas kama walivyo hao wa sasa lkn si wazamani labda moro! fanya biashara lakini usipotoshe wasiojua

    ReplyDelete
  6. Waliokuwa wakicheza disco miaka ya 80-90 hivi sasa wana miaka 45-54. Ndugu yangu wa 1947 nakushauri wakati wa week-end uwe unakaa na wajukuu zako nyumbani!

    ReplyDelete
  7. Mdau wa oldies, kama JD ni dj wa 90 katikati kwahiyo anafaa sababu kacheza muziki wa enzi hizo.
    Pia kuwa wa Morogoro sio mbaya manake yeye anajua tcha-tcha sio wengine mkisikia Oliver Ngoma (Bane) tu mnaanza 1, 2, 3 , 4 kwako!
    Kusema kweli hapo Isumba tutakuja sana.

    ReplyDelete
  8. Jamani pana DJ mmoja wa Kibongo alikuwa anaishi Marekani alifariki miaka ya 2006/2007 kule Philadelphia Penn State, huku TZ ni mtu wa Iringa naomba mnikumbushe mnao jua jina lake!!!

    ReplyDelete
  9. Lakini tuache ubishi Disco TAMU SANA HALIJA WAHI KUTOKEA TANZANIA LILIKUWA MIAKA YA 1983-1989 !

    Miaka hiyo tulijua LAKI ITAKUJA KUWA SIYO PESA?,,,hatukujua maana Laki kipindi hicho ilikuwa ni Bilioni!!!

    Ma DJ ni kama hao alio wataja Mdau wa wa 5 hapo juu.

    ReplyDelete
  10. hahahah Mdau wa 3 ....na umri umekwenda.

    Sasa kama kwa umri wako wewe na huyo Mdau wa 2 wa mwaka 1947 mkienda Disco la sasa si mtacheza na kuserebuka na wajukuu zenu Ukumbini Club?, mtakuwa BABU CHEZA ama BIBI CHEZA!!!

    Ni bora mbakie nyumbani kama Mdau wa juu anavyosema kulea Wajukuu!!!

    ReplyDelete
  11. Kwa miaka hiyo kuanzia Madisco ya 1980's huko hadi sasa kwa kweli ndugu zetu wengi wameenda mbele za haki!

    Mtu ukienda hapo ukasikiliza muziki hutafurahi itabidi ulie kukumbuka wandugu,

    Mfano,

    -Pale City Lounge karibu na Askari Monument kwa Dj Pantalakis pana OLD SCHOOL Dance.

    -Sapphire Hotel pale kona ya Mtendeni na Zanzibar Hotel na Kisutu utawakuta VARDA ARTS akina Yunus Junior na wenzake.

    Ohhh jamani zamani raha!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...