Home
Unlabelled
DJ JD AFUNGUKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bab kubwa JD
ReplyDeletesawa DJ JD, ila zamani sio 1988-89 hiyo ni juzi tu. Je sisi wa 1947 tusemeje?
ReplyDeletekaka watokaji wa toka 80s tuliobaki tunatoka hakika 20 hatufiki! sasa angalizo husije laumu watu....na umri umekwenda
ReplyDeleteTotally agree 88/89, wengine tusha-acha kwenda disko, nawe si wa zamani, but good try. Will visit isumba once in Bongo, the place was formerly awash with makahaba,very good change indeed.
ReplyDeletemadj wa zamani saydou, jerry kotto, marehemu kalikali, john peter, paul, holela, joe na wengine ! jd tunavyokujua wewe ni dj wa tisini katikati bilicanas kama walivyo hao wa sasa lkn si wazamani labda moro! fanya biashara lakini usipotoshe wasiojua
ReplyDeleteWaliokuwa wakicheza disco miaka ya 80-90 hivi sasa wana miaka 45-54. Ndugu yangu wa 1947 nakushauri wakati wa week-end uwe unakaa na wajukuu zako nyumbani!
ReplyDeleteMdau wa oldies, kama JD ni dj wa 90 katikati kwahiyo anafaa sababu kacheza muziki wa enzi hizo.
ReplyDeletePia kuwa wa Morogoro sio mbaya manake yeye anajua tcha-tcha sio wengine mkisikia Oliver Ngoma (Bane) tu mnaanza 1, 2, 3 , 4 kwako!
Kusema kweli hapo Isumba tutakuja sana.
Jamani pana DJ mmoja wa Kibongo alikuwa anaishi Marekani alifariki miaka ya 2006/2007 kule Philadelphia Penn State, huku TZ ni mtu wa Iringa naomba mnikumbushe mnao jua jina lake!!!
ReplyDeleteLakini tuache ubishi Disco TAMU SANA HALIJA WAHI KUTOKEA TANZANIA LILIKUWA MIAKA YA 1983-1989 !
ReplyDeleteMiaka hiyo tulijua LAKI ITAKUJA KUWA SIYO PESA?,,,hatukujua maana Laki kipindi hicho ilikuwa ni Bilioni!!!
Ma DJ ni kama hao alio wataja Mdau wa wa 5 hapo juu.
hahahah Mdau wa 3 ....na umri umekwenda.
ReplyDeleteSasa kama kwa umri wako wewe na huyo Mdau wa 2 wa mwaka 1947 mkienda Disco la sasa si mtacheza na kuserebuka na wajukuu zenu Ukumbini Club?, mtakuwa BABU CHEZA ama BIBI CHEZA!!!
Ni bora mbakie nyumbani kama Mdau wa juu anavyosema kulea Wajukuu!!!
Kwa miaka hiyo kuanzia Madisco ya 1980's huko hadi sasa kwa kweli ndugu zetu wengi wameenda mbele za haki!
ReplyDeleteMtu ukienda hapo ukasikiliza muziki hutafurahi itabidi ulie kukumbuka wandugu,
Mfano,
-Pale City Lounge karibu na Askari Monument kwa Dj Pantalakis pana OLD SCHOOL Dance.
-Sapphire Hotel pale kona ya Mtendeni na Zanzibar Hotel na Kisutu utawakuta VARDA ARTS akina Yunus Junior na wenzake.
Ohhh jamani zamani raha!!!