Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Salmin Amour Juma,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Amani Abeid Karume,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Ali Hassan Mwinyi,katika hafla kutunuku Nishani iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Viongozi wenye sifa Maalum kwa Dk. Salim Ahmed Salim,katika hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduziya Zanzibar.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Kitu kizuri sana hiki.Ingependeza sana kama ingepatikana picha ya pamoja ya marais hawa watatu(wawili wastaafu na huyu wa sasa).Juzi humu tumeonyeshwa Rais Obama,Bush,Clinton kwamba ni demokrasia ya kweli.
ReplyDeleteDavid V
well said, mdau hapo juu ...ni kweli kabisaa, hii picha ya "retired presidents" ilitakiwa sana hasa wakati huu tunapotafakari miaka 50 ya Mapinduzi...lakini fursa bado ipo...nadhani Admin wataweza kulitazama hilo maana bado tuko ndani ya wiki yenye vuguvugu la mapinduzi 50 ya Mapinduzi.
ReplyDelete