Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,(katikati) na viongozi mbali mbali walioshiriki,Matembezi ya Bonanza la 5 la Vikundi vya Mazoezi ya Viungo, yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,hadi uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Wanavikundi vya mazoezi ya Viungo wa Zone A,wakiwa katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.
Kikundi cha Mazizini Beach Exercise Group,hawakuwa nyuma katika Matembezi ya Bonanza la 5,yanayoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,na viongozi mbali mbali wakishiriki,matembezi hayo yaliyoanzia Uwanja wa Kisonge,na kumalizia Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Chakushangaza Unguja vikundi vya karate na judo ruksa ila mchezo wa NDONDI Marufuku!!! lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...