Marehemu Rashidi Mfaume Kawawa enzi za uhai wake. Ni miaka minne kamili toka Simba wa Vita huyu atutoke. Familia yake inatuma salamu kwa kusema:
  "Its now Four years since our beloved 
Mzee Rashidi Mfaume Kawawa  passed away. 
We miss you so much. 
Innalilah Wainaillah Rajuun!!!"

Pia soma makala maalumu aliyoandika
 Jenerali Ulimwengu baada ya kifo chake
 Simba wa Vita akiwa kazini enzi za uhai wake
 
Simba wa Vita Rashidi Mfaume Kawawa akiwa na Mama Sophia Kawawa enzi za uhai wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. The mdudu,,hakika tunawa miss sn sn mashujaa wetu wa ukweli mpumzike kwa amani zote

    ReplyDelete
  2. kiongozi wa kweli na sio longolongo tulionao siku hizi.

    ReplyDelete
  3. mungu amrehemu.
    Mwl nyerere alimchagua huyu ili amburuze kwa kuwa alikuwa hakuwa na kiwango cha elimu na maarifa aliyokuwa nayo mwl nyerere ,mbona wajanja wenzake walimtoka akina kambona na mtei. Tuwege wakweli mara nyengine siasa tuweke pembeni.

    ReplyDelete
  4. Mdau wa tatu,wengi twafikiri hivyo,ila ukiangalia intellectually,wawili hao ni kama watu waliokula yamini,ndio maana kejeli kama zako zilikuwa nyingi. Hawa wazee wetu hawakusahau malengo yao kiutaifa,nje ya hapo hawakutilia maanani. Kila moja wao waliheshimiana,waliaminiana,walishibana,hakuna siasa za chuki wala majungu kati ya wachache walioamua hivyo. Wenye madukuduku waliitana,wakaelezana,na wakasonga mbele bila vinyongo wala visasi. MAY GOD REST THEM I. PEACE

    ReplyDelete
  5. eti Mtei kawa mjanja unajuwa kaanzisha Chadema lini yule?
    Si mfanyakazi wa BOT alikuwa yule before usimfananishe Kawawa na mdudu Mtei wewe

    ReplyDelete
  6. Huo ujanja wa akina Kambona ni upi? na uliwasaidia wao na nchi kwa lipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...