Dkt John Pombe Magufuli akipungia lori la kwanza kupita baada ya daraja la Dumila kuanza kupitika kufuatia kazi ya kuliweka sawa kufanukiwa
 Dkt John Pombe Magufuli akikagua ujenzi wa daraja hilo
 Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli akisimamia kazi ya ujenzi wa daraja la Dumila
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa kwa kusimamia kwa masaa 24 kazi za ujenzi wa daraja la Dumila 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ahsante sana Mhe. Magufuli kwa kujituma kimajukumu!

    Jasho lako halite kwenda bure, usingizi wako hauta potea bure utapata malipo makubwa sana!!!

    ReplyDelete
  2. Ungozi sio cheo ila ni kijituma na kutimiza wajibu, Mungu tujalie kina Magufuli wengi tusonge mbele... Shuktan mkuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...