Balozi wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali (kulia) akiongoza mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African Union lililopo Georgetown, Washington, DC. siku ya Jumatano January 29, 2014
Waheshimiwa Mabalozi waliohudhuria mkutano huo wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African Union lililopo Georgetown, Washington, DC. siku ya Jumatano January 29, 2014
Waheshimiwa mabalozi wakifuatilia mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani kwenye jengo jipya la ofisi ya African Union lililopo Georgetown, Washington, DC. siku ya Jumatano January 29, 2014
Huku hakuna kulala ovyo kama Dodoma! atakayelala arudishwe nyumbani na arudishe masurufu!
ReplyDeleteMdau Canada
Ha ha ha! Hata wale wa nchi zingine warudishwe Dodoma, na warejeshe masurufu? Nakutania, nimekuelewa - unataka huko Dom wawajibike:-).
ReplyDeleteNingeshauri kwamba badala ya vibao vinavyosema Ambassador wangetambulisha nchi. Wazo tu kwa Waheshimiwa Mabalozi!
ReplyDelete