Winga Machachali wa Timu ya Clouds Media,Said Tully akituliza mpira kwa umaridadi kabisa mbele ya Beki wa Timu ya Gebi Presha ya Magomeni wakati wa Mtanange wao wa kufunga mwaka,uliofanyika kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers,Kawe jijini Dar.Clouds Media walilala kwa mabao 2-1
Mshambuliaji wa Timu ya Gebi Presha ya Magomeni,akiondoka na mpira.
Ilikuwa ni patashika la nguvu uwanjani hapo.
Kocha wa timu ya Clouds Media, Alex Lwambano akiwa ameshika kiuno baada ya timu yake kupigwa bao 2,huku akiwa na mashaka tele juu ya kibarua chake katika timu yake hiyo.maana hii ilikuwa ni mechi ya pili kupigwa,tena nyumbani.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...