GLOBU YA JAMII INAPENDA KUMPA HEPI BESDEI YA KUZALIWA MZEE YA CHRIS LUKOSI ( pichani, akiwa bado kinda) AMBAYE BAADA YA KUPAMBANA VYA KUTOSHA HIVI SASA NI MKURUGENZI WA KAMPUNI PENDWA YA SERENGETI FREIGHT FORWARDERS ILIYOKO UINGEREZA. HAKIKA UMETOKA MBALI NA HAPO ULIPO NI MBALI PIA. 
TUNASHUKURU KWA KUWA MMOJA WA WADAU WANAOIPA TAFU GLOBU YA JAMII KWA HALI NA MALI. MOLA AKUZIDISHIE MAARIFA NA NGUVU ZA KUENDELEA KUWA NAMBARI WANI KATIKA SEKTA YA USAFIRISHAJI MIZIGO MIKUBWA NA MIDOGO KUTOKA UINGEREZA HADI MAHALI POPOTE DUNIANI - ANKAL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera Mzee wa Kazi Chris Lukosi!

    Kama ingekuwa pana uwezekano ukarejea kwenye utoto kama ulivyo ktk picha nadhani hata sisi wengine hakuna angekataa uhamisho huo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...