Mambo Vp East Africa??...Kwanza Nawapongeza Wote Mlio Fanikiwa kuvuka mwaka 2013 na kuingia Mwaka mpya wa Mafanikio 2014,thanx all radio presenter's&DJ'S Kwa kuupa sapoti Muziki Wetu Wa Bongo Fleva.....Ahsante Pia kwa mungu Aliye Juu Kwa Kuifanya Studio Ya Ruby records Kuanza Mwaka Mpya Wa 2014 Kwa Mafanikio Ya Kufanya Kazi or Kufanikisha Kurekodi Nyimbo 3 Mpya Na Nzuri Za Wasanii Wakubwa Wa MUZIKI WA BONGO FLAVOUR NCHINI TANZANIA.... 
- RUBI RECORDS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...