LAPF wakikabidhi msaada kwa Hospitali ya Hydom
 
   Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Hydom Bw. Olav Espegren akishukuru baada ya kukabidhiwa mashuka 300, vyandarua 300 na mablangeti 150 kwa ajili ya Wodi ya watoto katika hospitali hiyo.
Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Hydom Bw. Emmanuel Mighay akishukuru baada ya kupokea msaada kutoka LAPF. Pembeni ni Meneja wa LAPF kanda ya Kaskazini Bw. Rajabu Kinande. 
Muuguzi mkuu wodi ya watoto Bi, Martha Mayo akitoa neno la shukurani  baada ya kupokea msaada kutoka LAPF.
 Katibu wa Hospitali bw. Joseph Saibulu akitoa neno la shukurani kwa LAPF
1.    Meneja wa LAPF kanda ya Kaskazini bw. Rajabu Kinande akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Hydom Bw. Olav Espegren baada ya kukabidhi msaada wa mashuka 300, vyandarua 300 na mablangeti 150 kwa ajili ya Wodi ya watoto. Chini ni wadau katika hafla hiyo fupi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...