Makamu wa Rais wa kampuni ya Intergen Consulting Group Bw. Heejeong Choi akitia saini mkataba wa Mfumo wa Ununuzi wa Kielektroniki baina ya Kampuni yake na Bohari Kuu ya Madawa ya Serikali (MSD). Kulia kwake ni Katibu Mkuu Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Madawa ya Serikali Bw. Cosmas Mwaifwani. 
Katibu Mkuu Utumishi Bw. George D. Yambesi (kushoto) akimkabidhi mkataba kwa Makamu wa Rais wa kampuni ya Intergen Consulting Group Bw. Heejeong Choi wa Mfumo wa Ununuzi wa Kielektroniki utakaotumiwa na Bohari Kuu ya Madawa (MSD) mara baada ya kusaini mkataba huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. jamani kuweni makini wakati wa kusahini hii mikataba ,sehemu nyeti ya kuokoa maisha ya watu,{madawa} hawa watu ndani ya mioyo yao sio wakweli.ahsante

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...