Makamu wa Rais wa kampuni ya Intergen Consulting Group Bw. Heejeong Choi
akitia saini mkataba wa Mfumo wa Ununuzi wa Kielektroniki baina ya Kampuni
yake na Bohari Kuu ya Madawa ya Serikali (MSD). Kulia kwake ni Katibu Mkuu
Utumishi Bw. George D. Yambesi (katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Bohari ya Madawa ya Serikali Bw. Cosmas Mwaifwani.
Katibu Mkuu Utumishi Bw. George D. Yambesi (kushoto) akimkabidhi mkataba
kwa Makamu wa Rais wa kampuni ya Intergen Consulting Group Bw. Heejeong
Choi wa Mfumo wa Ununuzi wa Kielektroniki utakaotumiwa na Bohari Kuu ya
Madawa (MSD) mara baada ya kusaini mkataba huo.
jamani kuweni makini wakati wa kusahini hii mikataba ,sehemu nyeti ya kuokoa maisha ya watu,{madawa} hawa watu ndani ya mioyo yao sio wakweli.ahsante
ReplyDelete