Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akimkabidhi Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Timu ya Kcc kutoka Uganda Kawoya Fahad,katika mchezo wa Fainali na Timu ya Simba,uliochezwa lao katika uwanja wa Amaan Mjni Zanzibar ikiwa sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi,katika mchezo huo Kcc ilifunga Simba kwa bao 1-0

KCC ni Mawakala wa Yanga.
ReplyDeleteSi mnaona uzi wao una Kanjano kale ka Jangwani?
Ni kuwa tukiwa safarini Uturuki kuchana bata tuewaachia jukumu Mawakala wetu KCC kumchinja mnyama.
Hivyo Kombe la Mapinduzi limekwenda Jangwani, tuonane kwenye Ligi Kuu ya Kilimanjaro Premium Lager.
Kwa Matokeo haya: KCC(Yanga)-1 na Smba S.C.-0
Mtani Jembe vipi tena
ReplyDelete