Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akimkabidhi Kombe la Mapinduzi Nahodha wa Timu ya Kcc kutoka Uganda Kawoya Fahad,katika mchezo wa Fainali na Timu ya Simba,uliochezwa lao katika uwanja wa Amaan Mjni Zanzibar ikiwa sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi,katika mchezo huo Kcc ilifunga Simba kwa bao 1-0

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. KCC ni Mawakala wa Yanga.

    Si mnaona uzi wao una Kanjano kale ka Jangwani?

    Ni kuwa tukiwa safarini Uturuki kuchana bata tuewaachia jukumu Mawakala wetu KCC kumchinja mnyama.

    Hivyo Kombe la Mapinduzi limekwenda Jangwani, tuonane kwenye Ligi Kuu ya Kilimanjaro Premium Lager.

    Kwa Matokeo haya: KCC(Yanga)-1 na Smba S.C.-0

    ReplyDelete
  2. Mtani Jembe vipi tena

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...