AL'MARHUM MZEE ESMAIL MANAMBI CHOKA
( 1947 - 2011)
Imetimia miaka mitatu tokea ile Alfajiri ya Januari 23, 2011 tulipopata taarifa ya kuhuzunisha ya kifo chako baada ya kuugua kwa muda wa siku 3 tu! Tunakosa mambo me...ngi kutoka kwako HEKIMA, BUSARA, UCHESHI, UPENDO NA UVUMILIVU!
Unakumbukwa sana na Mama yako Mzazi Bi Hapsa binti Sheikh Issa wa Bagamoyo, Nduguzo Issa, Midladjy na dada yako Mwajellah! Nduguzo pia Farida na Asha na watoto wao; Halikadhalika wanao; Manambi, Masayanyika, Usamah, Natasha na Asha Choka!
Wengine Hawa, Buhari. Pia na Salhina, Bahati, Himidi na Jamilluh. Insha'Allah unakumbukuwa na koo zote za Sheikh Issa Mzee wa Bagamoyo na Mzee Joseph Masayanyika wa Korogwe pamoja na marafiki na maswahiba zako nchini Tanzania na Wote tunakuombea mapumziko ya amani huko akhera -Firdaus Jannah!
INNA LILLAH WAINA ILAHIY RAJOOUN!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...