MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba (pichani) ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo.
Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando kuanzia saa 3:30 mpaka 4:20 asubuhi. Kusoma sakata hilo lote tembelea kwa Mjengwa BOFYA HAPA
Pole sana bosi na hongera kwa ushindi! Mshukuru sana Mungu kwa hili na umuombe akutangulie katka kila jambo katka maisha yako.
ReplyDeleteBinafsi nimefurahi kuwa sasa Jina la BOT litabaki kutajwa in reference to what we do best... i.e. its core functions!
Aidha, baadhi yetu uliotuacha Benki tutaendelea kukukumbuka kwa mengi mazuri uliyoyafanya!
Mengine yote yaliyosemwa, yanayosemwa na hata yatakayosemwa ni ya kibinadamu ambayo kila aliyeumbwa ana yake! Kwa maneno mengine 'mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni...Enjoy your retirement Sir!
Intelligent guys often learn more from their failures than from their successes.Period
ReplyDeleteDavid V
Very true.
ReplyDeleteWell said David V!