Bondia Muss Chitepete kushoto akitunishiana misuli na Ramadhani Shauli wakati wa upimaji wa uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumapili ya january 26 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam 

Bondia Muss Chitepete kushotoakipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauli kulia
Mabondia Bakari Magona 'Beka Ostadhi' kushoto akitunishiana misuli na Juma Fundi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumapili ya january 26 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam
Picha na Super D

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi kupima uzito ni lazima bondia abaki na "Boxer"?
    Nguo za kawaida zingetoa vipimo batili.?

    ReplyDelete
  2. Hawa bonga afya mgogoro?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...