Mama Flora Mtegoa, mzazi wa muigizaji Marehemu Steven Kanumba, akionekana mwingi wa furaha leo baada ya kukutana uso kwa uso na wasanii wa nyumbani Bukoba leo kwenye Fukwe za Kiroyera ziwa Victoria. Wasanii hao pamoja na kukutana na Mama Kanumba walikuwa kwenye matayarisho ya Uzinduzi wa Filamu yao mpya.
Home
Unlabelled
MAMA KANUMBA AKUTANA NA KUNDI LA WASANII WA BUKOBA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...