Bwana Bushiri Kaubanika akiwa na nyuso ya furaha baada ya kufunga pingu za maisha na Mwatabu Tamarawe arusi iliyofungwa Gongolamboto mwisho wa lami na kufuatiwa na tafrilija iliyofanyika Kigogo Dampo Dar es salaam. Maharusi  wote ni walimu wa shule

Bwana Bushiri Kaubanika akiwa na nyuso ya furaha baada ya kufunga pingu za maisha na Mwatabu Tamarawe 
Bwana Bushiri Kaubanika akiwa na nyuso ya furaha baada ya kufunga pingu za maisha na Mwatabu Tamarawe 
Bwana Bushiri Kaubanika akiwa na nyuso ya furaha baada ya kufunga pingu za maisha na Mwatabu Tamarawe 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Majina ya kwetu halisi

    sesophy

    ReplyDelete
  2. Umesema nyuso za nini?

    ReplyDelete
  3. bwana harusi akiwa katika uso wa furaha. ina maana bi harusi hayuko ktk uso wa furaha. anamlilia mama yake, motto kwa mama hakui

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...