Asalam Aleykum Warahmatullahi Wabakatuh
Ndugu zetu Waislam. Tunapenda kuwaalika ktk Maulid ya kusherehekea mazazi Mtume Muhammad s.a.w itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 18/01/2014 kuanzia saa 9.00 jioni. Anuani ya ukumbi wa shughuli ni
43 gold smith road, Wellingborough,
NN8 3RU.  United Kingdom
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na 
07903880408 au 07529302674 au 07438921323.

Wote mnakaribishwa. Wabillahi tawfiq. Assalam Alaikum

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...