Hii ndio Helikopta iliyowakusanya wana Iringa leo uwanja wa Mwembetogwa |
Dr Slaa akiwasili katika kiwanja cha Mwembetogwa leo |
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wana Iringa leo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Most read Swahili blog on earth
Hii ndio Helikopta iliyowakusanya wana Iringa leo uwanja wa Mwembetogwa |
Dr Slaa akiwasili katika kiwanja cha Mwembetogwa leo |
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wana Iringa leo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu,anasema mikutano kama hiyo mshafanya kwenye chaguzi mbali mbali toka miaka ileee lakini wapi ndugu zangu kinachokumalizeni nyie kwenye hizo chaguzi kwa mtazamo wangu ni haya hapa ikumbukwe mm sijasoma hata darasa moja ila naitumia vizuri sn sn akili zangu alizonijaalia mungu wangu pasipo kuzichakachua,,niludi kwenye topic yangu,,huo umaati wote ulio hapo wengi wao ni watoo na vijana wadogo ambao hata kwenye uchaguzi hawaruhusiwi KUPIGA KURA kinacho wasogeza hapo ni hiyo CHOPA TU nakusikiliza mnachosema ila mkutano ukiisha mtoto huyo huyo au kijana yuleyule siku ya pili yake UKIMUULIZA VIPI ULIENDA KWENYE MKUTANO WA CHEM CHEM au CHADEMA jibu atakalo kupa hili hapa ndio nilikwenda lakini sikumbuki lini walikuja na nini walisema,wadau hapa tujiulize mtu akishindwa kwenye UCHAGUZI kwa mambo kama hayo ni nani? ALAUMIWE,,angalizo kwa wadau mm sina chama chochote nimaoni 2
ReplyDeleteUnazi mwengine bwana si mzuri....eti hii ndio Chopa iliyowakusanya wakazi wa Iringa, watake radhi bwana, wamekuja kusikiliza hoja nzito ili mwakani watoe hukumu....
ReplyDeleteKujipendekeza kwenu aibu inawakutia siyo muda, hivi unawaona hapo ni watoto? hebu zoom hizo picha, wale wanaopelekaga wasani mbona hujalizingumza!
ReplyDeleteKusema kuwa huo umat umekusanywa name chopa ni ushabiki wa wazi tena ambao hauna faida! Wewe leta habar halafu sis ndiyo tuseme!Watanzania siyo washamba WA helkopta
ReplyDeleteGharama kuuubwa kwa Helikopta!
ReplyDeleteHalafu ktk Matokeo ya Uchaguzi mnapata Kura 3 tu!
Mdudu huyu ana akili za panzi kwani hata hakumbuki kuwa alisoma darasa la kwanza na kuendelea maana alichoandika kinadhihirisha wazi kuwa amesoma. Huyu mdudu hawezi hata kutofautisha watu wazima na watoto! picha hizo zinaonesha umati wa watu wazima lakini kwa akili za panzi anaona ni watoto.
ReplyDeleteHuyo jamaa hapo juu hawajui au hataki kuutambua ukweli. Ndugu zetu Bongo wapenda sana kuona kinachotokea, gari mbili zikigongana umati wa watu hukusanyika kujionea kumetokea nini.Ukienda huko Iringa vijijini na kuchoma moto basi, nafikiri utakusanya watu wengi. Katika watu waliohudhuria mkutano huu, bila shaka kuna watu waliokuja kwa nia ya kisiasa, lakini ni wazi kuwa wengi wemekuja kujionea hiyo helikopta, you must admit this.
ReplyDelete