Jumuiya ya watanzania Washington Dc inasikitika kutangaza kifo mpendwa wao Zainab Buzohera Dullah au maarufu kwa jina la Zay B aliyefariki dunia saa mbili za usiku wa Jumamosi Januari 4 ,2014. Kwa mujibu wa mume wa marehemu  Zainab alikutwa na umauti huko Doctors Community hospital Lanham Maryland baada ya kuugua kwa muda mfupi. 

Msiba upo  nyumbani kwa marehemu  5030 57th Ave Apt 303 Bladensburg Md 20710. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Tanzania inaendelea. Harambee itafanyika Jumapili January 5, 2014 saa 10 jioni katika anuani ifuatayo:5401 Annapolis Rd Bladensburg Md 20710.
Gharama ni $15, 000.

Tunakuomba tuma mchango wako kwenda CITI BANK. ATT: Ms. Ngalu Buzohera AC no.50070000.
Routing 9106834936
Shukran.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. inna lillah wa inna ilayhi rajiun

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi, amen!!

      Delete
  2. Inalillah waina ilayhh rajiun.Zay Mola akupokee kwa mapezi na akupe pepo ya Firdaus .Ulikuwa mcheshi nilikujulia kwa Loveness mamuya . Jamni kifo na Dunia imebeba wengi.
    Poleni ndugu na marafiki wa karibu Mola atie wepesi mazishi yake
    from sweden

    ReplyDelete
  3. Pole sana wana dmv kwa msiba

    ReplyDelete
  4. "Inna Lillah Wainna Ilayhi Rajiun" Mwenyeez Mungu amraham, amughufirie kwa yote, amlaze pema peponi - AMEEN.

    ReplyDelete
  5. Jamani zaina daaah poleni familia yake pole loveness kufiwa na best wako .mcheshi sana zaina

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...