DHORUBA:MELI YA KILIMANJARO II,ILIYOKUWA IKITOKA PEMBA KWENDA UNGUJA ILIPATWA NA DHORUBA MAPEMA LEO ENEO LA NUNGWI BAADA YA INJINI KUZIMA,HAKUNA ALIYEKUFA.INAAMINIKA ABIRIA WAPATAO 10 WALIPANIKI NA KUJIRUSHA BAHARINI ILI KUJINUSURU NA WANAENDELEA KUTAFUTWA.

 HABARI ZAIDI ZITAENDELEA KULETWA HAPA JAMVINI KADIRI YA ZITAKAVYOKUWA ZIKIINGIA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa



































































































































  1. Mungu awanusuru wote Na janga hili.

    ReplyDelete
  2. Inaonekana kuna umuhimu wa vyombo vya usafiri vya maji kufuta Safari za meli pindi tu utabiri wa hali ya hewa unapotoa taarifa ZA HALI MBAYA YA HEWA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...