KANALI JOHN NCHIMBI wa Nyumbu Kibaha anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake mzazi Mzee Kenneth Caspar Nchimbi (pichani) kilichotokea jana tarehe 20 January 2014 asubuhi Mbinga Mkoani Ruvuma.
Taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwa marehemu wilayani Mbinga
Habari ziwafikie ndugu na jamaa wote.
Bwana ametoa bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Amen
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...