Mtoto huyu anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 2. hadi 2.5 kasoro ameokotwa eneo kati ya Jengo la Wazazi ndani ya  Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Tafadhali yeyote anayefahamu wazazi wake, au ndugu zake atufahamishe mara moja. Mtoto huyu kwa sasa tunaye  na ili uweze kumchukua uje na vielelezo vifuatavyo;

1.    RB ya Polisi
2.    Cheti cha Kuzaliwa cha mtoto
3.    Picha ya mtoto mwenyewe
4.    Kadi ya Kliniki ya Mtoto
5.    Barua kutoka Serikali ya Mtaa ikikutambulisha
6.    Kitambulisho cha Mpiga Kura
7.    Kitambulisho cha Taifa kama tayari umepata

Wasiliana nami kupitia 0755 648636. Mtoto hawezi kuongea vizuri hivyo tumeshindwa kufahamu vizuri jina lake anavyolitamka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ataokotwa leo jumatano?

    ReplyDelete
  2. Jamani mtoto wa binadamu haikotwi, anakutwa amepotezana na wazazi au walezi wake, tutumie lugha ya staha kwa binadamu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...