Mwandishi wa habari na Mtangazaji wa BBC,Komla Dumor amefariki dunia ghafla nyumbani kwake kutokana na mshtuko wa moyo. Alikuwa na miaka 41 alipopata mauti yake.Komla Dumor ameelezewa kuwa miongoni mwa waandishi shupavu barani Afrika. 

Rais wa Ghana, John Dramani Mahama amemtaja marehemu kama zawadi ya Ghana ulimwenguni na kuongezea kuwa Ghana imempoteza mmoja wa wajumbe wake. 

Komla hivi karibuni alikuwa anaongoza kipindi cha Runinga kinachozungumzia maswala ya Afrika baada ya kufanya kazi katika radio mmoja nchini Ghana na vilevile radio ya BBC. Muhariri wa habari za ulimwengu Andrew Whitehead amemtaja kuwa mwadishi shupavu aliyekuwa na uhusiano mzuri na wasikilizaji.

CHANZO: BBC SWAHILI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Inahuzunisha sana jamani,juzi nlikuwa naangalia kipindi chako, R.I.P Kumla Dumor

    ReplyDelete
  2. RIP Komla,we will miss your good English.

    ReplyDelete
  3. Oh no!
    What a shock! What a loss! Our prayers are with his family. Rest in peace. You opened Africa to the world helping many people a long the way. You were a diamond,a gem and while we will miss you we pray for your loved ones. May the joy you brought us be with them. May the Blessings be with you at all times, May God's light receive you till we meet you. Rest in peace Great one.

    ReplyDelete
  4. We praise God for keeping this man alive for 41 years.

    ReplyDelete
  5. BP at 41. Siku hizi maisha yamekuwa mafupi; tuwe makini sana na life style.; si vyakula tu na hata kufanya kazi kupita kiasi kunaua.

    Nimefuatilia habari za kifo cha huyu mtangazaji; ni kuwa alikuwa anafanya kazi huku anajisikia mwili umechoka ...hata alipokuwa anatangaza shughuli ya Mandela South he was not feeling too well; but he had ambitions...and got promotted recently...but now he is gone...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...